MWANGOSI nakulilia


Imeandikwa apandaye uharibifu atavuna uharibifu hakika wote tulioona maiti ya Mwangosi hatutaitoka dunia hii kabla ya baadhi yetu hawajashuhudia kisasi cha MUNGU kwa waliomtoa roho mpendwa wetu Mwangosi
 
mnyikungu umetoa maneno makali na mazito kwa mtu yoyote atayesoma. Hakika mwangosi amekuwa si kitu tena mbele ya polisi bali ni nyamanyama na mautumbo tu!!! This is unfair.


From my heart, something must be done, and i will do it.

do it right now my brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…