VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
ulikuwa kaka yetu, tulikutegemea kwa kila kitu,
hatuamini macho yetu kama wewe leo tena si kitu,
hatutoacha kukulilia katu, milele utabaki kweye mioyo yetu,
mshangao kwa kila anayekufahamu, hatuamini kama umekufa kwa bomu,
kaka mwangosi hivi kweli we ni marehemu? bora ungeugua tukakuuguza hata tusingelaumu,
unajua kwa mtu yoyote aliyekuwa anamfaham mwangosi hawezi kukubali wala kuamini namna alivyotupotea ghafla,saa nyingine najiuliza au tumepelekwa somalia bila wenyewe kujijua? kama ni hapa tanzania je ni ile tanzania tuliyokuwa tunaambiwa kuwa ni kisiwa cha amani?, kwa kweli nawaza mengi, nimeishiwa nguvu, sijawahi kuona wala sikutarajia kuona kifo cha aina ile kwa mtu ninayemfahamu tena kwa nchi yetu ya tanzania.MNYIKUNGU umetoa maneno makali na mazito kwa mtu yoyote atayesoma. Hakika Mwangosi amekuwa si kitu tena mbele ya polisi bali ni nyamanyama na mautumbo tu!!! THIS IS UNFAIR.
FROM MY HEART, SOMETHING MUST BE DONE, AND I WILL DO IT.
Kyala akusaje malafyale, umalile imbombo pa kisu! Nu jesu bhalingoghile pakikohekano pa bhupoki gwitu. Lambalala kikolo, utukwaghanila kumwanya kwa tata!:amen:
Bhasangarufu habha bha gholofu bhisa, bhisa kuja na tata gwa kumwanya. Ngupasya umbili gwangu...................botukombeka mwangosi mwipomba, kale ajege nani omo mwipomba, onsangalofu ongolofu ikojaga nano omomwipomba
Kwa kiswahili Mkuubotukombeka mwangosi mwipomba, kale ajege nani omo mwipomba, onsangalofu ongolofu ikojaga nano omomwipomba
Tunamlilia wote ndugu, nice shairi. Amefungua macho ya dunia (though in a sad way) to see and learn about this inhumane, corrupt, vicious, Dumb and coward Tanzanian Government treats her own people. Unfreakin' Believable!