mwangaza wa Ajira

mwangaza wa Ajira

Paroko mtiifu

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Nina kijana wang (ME) elimu yake Diploma ya account anataman saana kupata eneo ya kujishikiza kutokana na alichosomea hata akipata haya mashirika/taasis ya mikopo sio mbaya yupo tayar kutumikia kwa uadilifu.
 
Afatilie tu matangazo ya Ajira kwenye mitandao
 
Nina kijana wang (ME) elimu yake Diploma ya account anataman saana kupata eneo ya kujishikiza kutokana na alichosomea hata akipata haya mashirika/taasis ya mikopo sio mbaya yupo tayar kutumikia kwa uadilifu.
Download app inaitwa ajira leo, hapo utakutana na nafasi za kazi nyingi sana na utakuwa unapokea notification kila muda ajira mpya zinapotumwa kwenye app
 
Back
Top Bottom