JOKA55
Senior Member
- Nov 1, 2014
- 110
- 74
Jana wagombea wa CCM katika nafasi ya Ubunge na udiwani jimbo la Mwanga walikua wanajinadi kuomba kupigiwa kura itakayofanyika tarehe 1 August. Walikua eneo la Kisangara na alichoambulia Maghembe kuzomewa, huku wenzake wakishangiliwa sana.
Alivuruga aliposema mradi wa maji kutoka Nyumba ya Mungu kwenda wilaya za Same na Mwanga yeye ndo anautekeleza, eti alipokua waziri wa elimu alisaidia sana kujenga shule kila kata na kwa sasa kila tarafa ina shule za juu (high school) kwa jitihada zake. Baada ya kusema hayo alipata zawadi ya kuzomewa mpaka muda ukaisha hakuweza kusikilizwa tena.
Akina Karia na Tadayo na vijana wengine walisikilizwa kwa umakini na kushangiliwa.
Kwa hali ilivyo ajiandae kwenda kurina asali kwao