kitongoroso
Member
- Nov 3, 2013
- 29
- 4
Mh mwanri aggrey mbunge jimbo la siha hatimaye amepata mpinzani wake 2015 mh meijo laizer aliyekuwa spika wa bunge la chuo kikuu cha tumaini-smmuco na kwa sasa ni mjumbe wa nec taifa ccm kupitia wilaya ya siha,kwa hali ya siasa katika wilaya siha upepo mbaya inamuelekea mh mwanri kwani kwa sasa anahofu kubwa wa kurudi bungeni katika uchaguzi mkuu ujao