Mwandishi wa hili gazeti ni kiboko aisee!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
15873500_713095288846238_4479363092695923431_n.jpg
 
Acha kucheza na taaluma za watu bana, huoni hilo ni Daily News gazeti la lugha ya kiingereza!

heading yake imeandikwa kiswahili halafu content yake ikaandikwa kiingereza.

Kuna gazeti la namna hiyo Tanzania hii?? Au mmejisikia kuwachokoza tu
 
kilichonichekesha sio habari yenyewe,ila gazeti la kizungu kuongea kiswahili.yaani nimekumbuka jinsi wazungu wanavyosotaga kuiongea kiswazz
 
Hilo ni rundo la magazeti,juu ya dailynews kuna hilo liloandikwa kwa kiswahili,Ishu ni hiyo heading" alijiua kakimbia"
 
Back
Top Bottom