Mwandishi wa Habari 'mamluki' akamatwa kwenye Baraza Kuu CHADEMA

Oct 7, 2015
86
108
Mwandish.JPG

Ndugu Steven Paulo amekamatwa kwenye mkutano wa baraza kuu CHADEMA baada ya kuvaa koti la uandishi wa habari wa uongo
 

Attachments

  • SAM_3710.JPG
    SAM_3710.JPG
    28.1 KB · Views: 62
Na hapo bado K/Mkuu hajapatikana ccm imeanza kuweweseka..sasa akipatikana sijui itakuwaje.
 
Poleni sana. Naona mmeanza kuweweseka. Endeleeni kumpata Katibu Mkuu na si kuendekeza majungu
Lumumba hakukaliki, macho yao na masikio yapo Mwanza utadhani anateuliwa katibu wa chama cha majipu
 
Poleni sana. Naona mmeanza kuweweseka. Endeleeni kumpata Katibu Mkuu na si kuendekeza majungu
Haya tumbua... tumbua... paaaa!!
Mzee anawasubiri pale mjengoni mumpelekee umbea na list za kutunga ili avamie akatumbue!!
 
Back
Top Bottom