Dr huyu mbobezi na mshaur kwa mambo ya kisiasa, kijamii hata uchumi mda mwingine nikati ya tunu kwenye taifa letu na ajawai kubaki nyuma au kukaa kimya taifa linapopata sintofaham kama sasa kwenye mambo ya kitaifa.
Amekuwa mfatiliaji mzuri hoja za kiserikali nje hata ndani ya bunge... na hata nje bila shaka amewai kuonya huko nyuma (1998)
Mi siwazamani sana lakini namkumbuka juzi kati hapa akiwafunda wapinzani kuwa hawajakomaa kisiasa hata juzi kati walipotoka bungeni kupinga mikataba ya Gas na Mafuta
Swali langu kwa wadau kuna yeyote aliye msikia toka zaga ili la makinikia lianze (Hata aliyeko karibu yake) maana asikiki si redioni, mitandaoni hata kwenye television kadhaa zilizomwalika kupata mawaidha yake