Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
WANAWAKE MPOO..?
MKITAKA KUDUMU NA
WAPENZI WENU BASI SIRI
HII HAPA...
TAMBUA THAMANI YAKO
Ili uweze kuwa bora ni
lazima uanzie kwako,
ujitambue kama
mwanamke na thamani
yako
kwa mwanaume wako.
Ukiijua thamani yako,
lazima utakuwa makini na
kila kitu. Rafiki
yangu, ninaposema
thamani ninamaanisha
kwanza kujiamini na kujipa
nafasi ya kwanza.
Uamini kwamba wewe ni
mwanamke mrembo
na unayevutia. Imani hiyo
ikishaingia, tayari
utakuwa unajali mambo
mengi ya msingi,
ikiwemo usafi wako
binafsi. Waswahili
wanasema, mwanamke ni
pambo la nyumba.
Pambo haina maana ya ua,
inamaanisha ule
usafi wa kila kitu.
Kwamba nyumba bila
mwanamke haiwezi
kukamilika, wewe kama
mwanamke unatakiwa
kufahamu wewe ni kila
kitu ndani ya nyumba.
Umakini wako na
kujitambua ndiyo vitu
vitakavyokuweka katika
nafasi nzuri ya kudumu
katika uhusiano wako na
baadaye kuingia
kwenye ndoa.
TAMBUA THAMANI YAKE
Ukiijua thamani ya
mwanaume kutoka ndani
ya
moyo wako ni wazi
kwamba hata vipengele
vifuatavyo hapa chini
havitakuwa vigumu kwako
kutekelezeka. Inakupasa
ujue thamani ya
mwanaume wako
ipasavyo.
Hilo si tu kwa maneno, bali
ni jambo ambalo
linatakiwa kufanyika kwa
ridhaa ya moyo wako.
Ni rahisi zaidi jambo hili
kufanyika ikiwa
utakuwa na mapenzi ya
dhati. Mpende kwa
moyo wako wote na ujue
kuwa maisha yako
yanakamilishwa na uwepo
wake.
Ndiyo! Yanakamilishwa na
uwepo wake, maana
una mategemeo ya kuingia
katika ndoa naye.
Hapo mtakuwa mwili
mmoja na maisha ya kila
mmoja yatamtegemea
mwenzake.
MHESHIMU
Mwanaume anapenda sana
kuheshimiwa na
mpenzi wake. Mwanaume
akigundua
haheshimiwi au unafanya
hivyo kwa
kumridhisha tu na si
kutoka moyoni, ni rahisi
kukuacha.
Kama kichwa cha familia,
lazima apewe nafasi
ya kutoa uamuzi tangu
mapema. Ikiwa utakuwa
na majibu mabaya kwake,
humheshimu ni wazi
kwamba atakuacha
mapema, maana utakuwa
umepoteza sifa za kuwa
mama wa familia.
Finito..
MKITAKA KUDUMU NA
WAPENZI WENU BASI SIRI
HII HAPA...
TAMBUA THAMANI YAKO
Ili uweze kuwa bora ni
lazima uanzie kwako,
ujitambue kama
mwanamke na thamani
yako
kwa mwanaume wako.
Ukiijua thamani yako,
lazima utakuwa makini na
kila kitu. Rafiki
yangu, ninaposema
thamani ninamaanisha
kwanza kujiamini na kujipa
nafasi ya kwanza.
Uamini kwamba wewe ni
mwanamke mrembo
na unayevutia. Imani hiyo
ikishaingia, tayari
utakuwa unajali mambo
mengi ya msingi,
ikiwemo usafi wako
binafsi. Waswahili
wanasema, mwanamke ni
pambo la nyumba.
Pambo haina maana ya ua,
inamaanisha ule
usafi wa kila kitu.
Kwamba nyumba bila
mwanamke haiwezi
kukamilika, wewe kama
mwanamke unatakiwa
kufahamu wewe ni kila
kitu ndani ya nyumba.
Umakini wako na
kujitambua ndiyo vitu
vitakavyokuweka katika
nafasi nzuri ya kudumu
katika uhusiano wako na
baadaye kuingia
kwenye ndoa.
TAMBUA THAMANI YAKE
Ukiijua thamani ya
mwanaume kutoka ndani
ya
moyo wako ni wazi
kwamba hata vipengele
vifuatavyo hapa chini
havitakuwa vigumu kwako
kutekelezeka. Inakupasa
ujue thamani ya
mwanaume wako
ipasavyo.
Hilo si tu kwa maneno, bali
ni jambo ambalo
linatakiwa kufanyika kwa
ridhaa ya moyo wako.
Ni rahisi zaidi jambo hili
kufanyika ikiwa
utakuwa na mapenzi ya
dhati. Mpende kwa
moyo wako wote na ujue
kuwa maisha yako
yanakamilishwa na uwepo
wake.
Ndiyo! Yanakamilishwa na
uwepo wake, maana
una mategemeo ya kuingia
katika ndoa naye.
Hapo mtakuwa mwili
mmoja na maisha ya kila
mmoja yatamtegemea
mwenzake.
MHESHIMU
Mwanaume anapenda sana
kuheshimiwa na
mpenzi wake. Mwanaume
akigundua
haheshimiwi au unafanya
hivyo kwa
kumridhisha tu na si
kutoka moyoni, ni rahisi
kukuacha.
Kama kichwa cha familia,
lazima apewe nafasi
ya kutoa uamuzi tangu
mapema. Ikiwa utakuwa
na majibu mabaya kwake,
humheshimu ni wazi
kwamba atakuacha
mapema, maana utakuwa
umepoteza sifa za kuwa
mama wa familia.
Finito..