Mwanaume

Ww unafikir mwanaume anayesuguliwa kucha na mwanaume mwenzake anaweza kupambana na mziki huo.

Mwanaume kazi kushindana na watoto wa kike saruni kupaka make up uson na kuchonga kucha
Teh teh teh sipo huko watakuja wenyewe kukujibu
 
Zawadi nono kutolewa kwa atakayewezeshwa kukamatwa kwa jangili huyu!
 
Halafu huo msuli aliouvaa ni ngozi ya chatu. Hapo panya wakae mbali
 
Huyo jamaa anafanyiwa mambo na sangoma hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…