Hapo sasa unachangia jioni unaambiwa baby let's end hereKuna mada unaweza changia halafu kumbe we ni mmojawapo wa wahusika.
Hapo ni happyness over prosperity.Asifanye tu kosa la kuolewa na mtu ambaye hamfeel, ataishi ndoa ya utumwa maisha yake yote.
BTW marriage is not all about money/sex.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo mtihani mkubwa kwa wanawake.... abaki na wote, mmoja nyumba kubwa na mwingine mchepuko.. and trust me, atakateachwa atagonga mzigo any time anayotaka
Nataka nimuite hapa guest ili nimshauri vizuri mkuu, wala sina niambaya nae
HAPO TATIZO LILIANZA PALE ALIPOKUBALI KUA NA MAHUSIANO NA WATU WAWILI TOFAUTI.
ANGEKUA NA MMOJA ASINGEGUNDUA MADHAIFU YA MWINGINE, ILA KAMA ATAKUBALI KUKUNWA VIZURI ALAFU ANALALA NA NJAA SIJUI KAMA ATARIDHIKA NI BORA KUA NA MWENYE KIPATO MAISHA YAENDELEE SABABU HUYO ANAEJUA KUKUNA AKIKUTANA NA MWANAMKE MWENYE FEDHA AKAMKUNA VIZURI ANAWEZA PIA KUMKIMBIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka haraka ni sawa kabsa unaweza sema bora kwenda kwenye hela au dudu.Hapo ni happyness over prosperity.
Lakini kuna mtu atakuambia bora uende ukalie ndani ya bmw kuliko furaha kwenye kibanda umiza
Hahahahahaha upo maeneo gani nimleteNataka nimuite hapa guest ili nimshauri vizuri mkuu, wala sina niambaya nae
Sent using Jamii Forums mobile app
UDOM ipo maeneo yapi huku Shikalibuga??Hahahahahaha upo maeneo gani nimlete
Sisi tupo huku udom saa tisa ndo tuanaanza kurudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mkifikiaga hapo basi mnakuaga njia panda kweli kweli.
Una njaa ya Maisha...na una njaa yakukunwa .
Una miaka mingapi hadi hujui mapenzi? Tatizo la wanawake/ wasichana wa kitanzania wanawaza mapenzi ni pesa. He huyo ambaye humfeel siku akianza kukunyima pesa au akiishiwa utafanyeje?Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020
Naombeni mawazo yenu hapa
Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.
Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.
Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.
Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?
Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa unataka tuanzishe tu ligi, katika maisha kila kitu kina priority yake na haviwez kuwa sawa.