kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ana afadhali? hata kuishi naye.cc@missneddy, miss chagaa, ICHANA, MankaMhoneyfaith, miss strong, heven on earth na wote karibuni.