Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Muulize miss chagga Anataka mwanaume msafi lakini hana hela au anataka mwanaume muuza mkaa lakini Hela hazikauki kwenye wallet...
Alafu ninarudia tena, kama mkiendelea nitaomba ridhaa kutoka kiumeni namimi niyashushe makombora, na nikianza msije mkaniita sina nidhamu, nimetoa onyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…