Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.
Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.
Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.
Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.
Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,
Ebu badilikeni .
Ni Mwenyeji maeneo haya tatzo amekuja na ID mpya.Umeingia kwa kasi mara ana kibamia anataka kukuoa...mara wanaume zako wanavunda.
Kwel leo umetuamlia kama bashite na gwajimaUnakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.
Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.
Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.
Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.
Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,
Ebu badilikeni .
Paprika una huruma kweli, eti ukamshonea boxer![emoji120] [emoji120] [emoji120].......toto zuri sana wewe!Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
Amekuja na ID mpya na inawezekana akawa ni espy![emoji4][emoji4][emoji4]Ni Mwenyeji maeneo haya tatzo amekuja na ID mpya.
Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.
Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.
Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.
Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.
Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,
Ebu badilikeni .
Nilikua nasubiria comment yakoNadhani huyu atakuwa Bashite.
Hapo safi kwa ulicho fanya huwenda jamaa hajui kushona.Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeingia kwa kasi mara ana kibamia anataka kukuoa...mara wanaume zako wanavunda.
Ndio umeamua uje kunihaibisha huku kuwa nina kibamia, Mara ninavunda sijui sifuagi boxer.. Sawa but soon we expert moyo sukuma damu from you[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuta mwanaume mtanashati inje anavaa shati nzuri suluali nzuri anapendeza kweli.
Lakini jaribu kuingia anapoishi kama dampo michanga nyumbani haijadekiwa mwaka mzima ivi mpoje nyie mwanaume wa ivi
Mashuka machafu .friji ndousiseme INA vunda.
Ukimkuta huko ofisn full kujishaua mtoto wakiume mchafu ivo kisa sijaoa ,eboo ebuacheni hayo mambo kwenye tabia hizo.
Sasaukizama ikulu mwanaume boxar chafuuuuuuuuu imevaliwa mwezi mzima boxar inamatunduvv kama chujio hiyo vest kufubaa kwanini mnajiendekeza hivyo.,masoski machafuuu yanavunda.
Viatu sasa vikivuliwa kama panya aliyekufa loh kwanini hamjipendi hivyoo,
Ebu badilikeni .
[emoji134]Halafu mtu mwenyewe kajiunga jumatano tu tena iliyopita yaani hii ya wiki hii hii.....
Balaa hili.....
Seriously....!!Kuna mmoja nilimkuta boxer imevutika lastiki na imeachana katikati matakoni... Kabla ya kuendelea chochote ikabidi nimwambie anipe mda kidogo niishone ile boxer... Nikashona ndo tukaendelea na mengine. Yaani nilimuonea huruma, nje jeans kachomekea mwenyewe na manukato juu, kiatu maana lakini ndani tambara la deki limesingiziwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]