Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
-
- #21
ndio ukweli huoHapo kwenye number nne sasa mmh km unawaonea kile chama chao
na boyfriend. unapesa kwanza sio waona vyaelea tuu.Hilo chura c mchezo Ni ww nn nije pm tuyajengu.
nachukia sana waimba taarabu mkuu hasa mzee yusufha ha ha kweli umbea haumpendezi mwanaume wa ukweli
sio mzima wwHamtegemei mwanaume mwenzake kumuajiri
SNURA anajibu zuri sana mimi nitakudanganya tu.huu msemo wa chura huwa unanichanganya,chura huwa mnamaanisha nn
lakini anawakonga nyoyonachukia sana waimba taarabu mkuu hasa mzee yusuf
Kwa hiyo profile!!! Ulikuepo kwny chura nn??asiwe shoga pia asiwe mbea au mwenye maneno kuntu huo ni unge.se.
Wewe leo ndo umegundua haya uliyoandika?Mbona ni principle ya kawaida.Habari wanaJamiiForum, natumai nyie ni wazima sana.
Kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo;
1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake.
2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake.
3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake.
4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto.
5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki.
Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje mchana mwema
Kawaulize BASATA.huu msemo wa chura huwa unanichanganya,chura huwa mnamaanisha nn
ha ha ha ha hatariMwanaume wa ukweli akiachana na mkewe lazima a hakika she amemtangaza kumkojoza barabara
try me, u wont regretNa..... Wanaume wa ukweli wamepotea kama sukari ilivopotea
Kweli mkuuuuuMwanaume mwenye nguvu za kiume lazima afanye hayo yote
Mwenzio anatengeneza pesa we unachukia,unaitaji matibabunachukia sana waimba taarabu mkuu hasa mzee yusuf