englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mmmmmmmmmmmmm.......mmmmmh
Mwanahisa, unanipa impression kwamba wewe ni fan wa bodybuilding kwa jinsiJamaa shoulder press anakwenda sawa,
Biceps na triceps amejitahidi,
Tatizo hapa kwetu gym na chips za mafuta ya transformer unapata bonge la concoction.
wala usimshangae...si ajabu ni shoga. wamarekani mashoga wana miili hiyo.
Ohoo kumbewala usimshangae...si ajabu ni shoga. wamarekani mashoga wana miili hiyo.
Ni katika jitihada za kuhalalisha vitambi
Duh!...kama mimi..!!
Aaaaah.......mwanaume huyu......hii picha unaweza kuipandishapandisha juu kidogo.......tafadhali....
Miraba mi4..inafanana na miraba yangu..Kwambaa?!
akili iliyolala
Funguka zaidi wewe ni trainer wa gym ipi?Jamaa shoulder press anakwenda sawa,
Biceps na triceps amejitahidi,
Tatizo hapa kwetu gym na chips za mafuta ya transformer unapata bonge la concoction.