Mwanaume wa kuoa

Yaani wewe ndo unaoa? Au mimi sijaelewa kichwa cha habari.

Yeye ni mwanamme anaetafuta mwanamme mwenzake amuwowe!

Nadhani Ishmael anaweza kumsaidia manake na yeye ni bonge sana. Ana shavu ka Dodoki pori na ni mweusi tiii!
Tatizo hana Fweza na nyumba pia hana, anachangia Chumba na pia Huyu ni mbeba Box tu.
 
Last edited by a moderator:
mmmh!!anyway utapata tu mtu ila hiko kigezo cha uwezo mkubwa kifedha inaweza kukugharimu sana.......maana mtu anaweza kuona huitaji ndoa ila unahitaji usaidiwe kulea watoto ulionao ingawa hukusema km unao....... Kila la kheri!
 
we una fedha kiasi gani? elimu gani? ni bahili au sio bahili?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…