Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Yani mimi ulifika tu wakati nilijiona nahitaji kuwa na wifey ili niwe na familia,basi nikatafuta mdada mmoja ambae niliona ananivutia nikabeba ndani ya mwaka nkatangaza ndoa!!ndo niko nae mpaka sasa tuna miaka mitano tunalala na kuamka pamoja!ulijuaje kuwa huyu ndio wifey,kati ya vishtobe vyako,nani ulimuona wife material and she deserve a ring?
Yani mimi ulifika tu wakati nilijiona nahitaji kuwa na wifey ili niwe na familia,basi nikatafuta mdada mmoja ambae niliona ananivutia nikabeba ndani ya mwaka nkatangaza ndoa!!ndo niko nae mpaka sasa tuna miaka mitano tunalala na kuamka pamoja!
NaamAsanteni wote mliofunguka,japokua sio wengi mliofunguka kny mada hii,bali mchango wenu una thamani,utawapa mwongozo ambao hawajaoa
Kwa kweli mm bana nilijitoa mhanga maana nilishakuwa na mahusiano b4 na kujifanya eti namchunguza mwanamke nikaja kugundua kumbe unaweza kutumia muda wa maisha yako yote hapa duniani kumsoma mwanamke na usimuelewe!that's gud mkuu,kumpata mnayeendana bado ni challenge kwa wengi...
MlitishaaaAlikuwa mpenzi wangu kwa miaka 15. Nikaona bora nioe tu.
Unachukua mademu kwa usafi wa mkeo,Sharubati mkengehukoAlikuwa msafi na akanifanya niwe na mwonekano mzuri kiasi cha mademu kuanza kunishobokea ..nikaona nikimuacha nitajikuta narud Enzi zang za u-hardcore mademu niwasikie kwenye bomba.
Pwahahahaaaa......ukiwa jf hata wikend hukumbuki kwenda kumtembelea shangazi au mjomba yaan fullmarahaaAna takoooo.. Chura yupoooo. Hicho Ndio kigezo mama cha kumvika Pete mama yenu. Asitokee Mtoto mwanahizaya aombe picha ya mama yake.... Nitamkamua nyongo
Utayaweza hayo!.mmmh aisee e....
Hili Swali najiuliza sana je ni yeye na kama siye yeye nahisi atakuwa pretty girl.Hivi Rubii,picha uloweka ni wew mwenyew?