mwanaume wa hivi unamuelewaje?

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Kakupa ujauzito! Unamwambia nyumban umefukuzwa kama kumpima msimamo wake unamwambia sina pa kukaa niende tu popote nikatafute pakukaa maana nyumbani hawataki hata kuniona! anakuambia ucjal mungu atakusaidia tuzidi tu kuwasiliana.
Alafu anakuambia ukishajifungua tutaishi pamoja da!!! Huyu mtu anaupendo na utu kweli jaman!!
 
Wakat unampanulia miguu ulijua maisha yake?au ulikuwa unafurahia chps mayai tu
 
Mama's baby, Daddy's may be!
Umeruka step, ungeolewa kwanza.
 

Nyie ndio jk alisema mnaviherehere eeh!
 
Ww kwann ukubali kujazwa mimba wakat hata hafahamiki kwenu?? Kwan milivokuwa mnagegedana hukujua kama ana mapenz ya kweli au anakudanganya?? Mkiambiwa tulien mjitunze hamsikii kaz kukimbilia vihepe nyamafu aghrrr!
 
hongera kwa kutoa mzigo bila kujua nini madhara yake haya sasa ndio hayo.
 
Mmmnh... Ukiamua kubeba mimba kabla ya ndoa lazima uwe na maandaliz ya kivyako vyako...!
 
pole mwaya so ni kweli una ujauzito au ulikuwa unampima? hebu angalia upya wapi ulikosea na usonge mbele ila huyo mwanaume hana mpango na wewe!!
 
Naona hakufai tu endelea na maisha yako... hope umemdanganya kujua msimamo wake
 
Kuna mwanamke ambaye ni mpenzi wako unaweza ukasex naye for bad luck mimba ikatunga. Pamoja na hiyo mimba akawa bado siyo wife materials wako. Wadada kuweni makini sana na mitego yenu.
 
Pole,ila ndo hvo tukiwa tunaambiwa play safe!tuzingatia...ndo ushaaribu
 
Mdada ambaye hajitambui ni yule ambaye anapata mimba bila ya kukusudia afu anasema "ametiwa mimba na jamaa fulani." Yaani unaniboa kwakweli Aaaaah!
 
na kwa nini umpime mwenzio!na yeye anakupa jibu la kukupima pia!!hapo wote mnapimana!
 
Mdada ambaye hajitambui ni yule ambaye anapata mimba bila ya kukusudia afu anasema "ametiwa mimba na jamaa fulani." Yaani unaniboa kwakweli Aaaaah!

sasa si ndio kama huyu. Kwenye kupigwa pumbu hakuja hapa alikuwa wakwanza kutanua miguu na kukata kiuno na kutoa miguno ya kufikishwa kibo halafu sasa hvi kapata matokeo ya kupanua miguu anakuja kutuuliza sisi kwan siye ndio tulimkojolea?! Alaaa!
 
unampima mwanaume mamiii?? ili ugundue nini?? wenzako hata sim hatutaki kugusa.

navyoona ni kwamba ulitaka akwambie haya njoo mama tuishi wote mmh wanaume hawajatoka sayari ya mars mamii anajua unampima kwani kuna kila dalili ulishawahi fanya hivyo na kumpima pima mtu ni kulazimisha afanye jambo bila kutaka yaani,

dont try to be his mom.really u ant his mom and you wil never be,
mama ndo anampima mwanae kama kaacha tabia ya udokozi kwa kuacha ela mezani ili aone kama ataichukua lakini kwa position yako kama galfriend si umeamua kuwa nae accept him as he is unavyojaribu kutoa hizo midterm test unatafuta likizo

just tell him the truth stop dramatizing start livin

alafu ukishaokoa jahazi tumia protection mamii huyo mpenziwe hana mpango na mtoto may be kwa sasa au kutoka kwako

tumia magazijuto hapo
 
Hizo sound za kujaribiana kwa kigezo cha mimba ishagapitwa na wakati mpenzi!!
 

mbona wakati wa kugegedana huku omba ushauri nenda kwa bibi bana ntakuo mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…