Mwanaume wa Dar

Hivi unamjua huyo ni nani?au umechukua tu picha yake na kuiweka hapa ili ufurahishe mabushmen wenzako?
 
Mboni kamedebweda hivo?!
Usikute umri huo bado anaishi kwa mama na anahudumiwa kila kitu mpaka boxer wazazi wanamnunulia!
Kazi yake kula vi-sausage na kushinda anaangalia tamthilia huku anachart!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…