" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "

ni ukweli usiopingika kwamba
wanawake wakati mwingine hatupishani na punda yaani bila mijeledi
hatwendi mbele,hivyo busara inahitajhika zaidi ikiwezekana kipondo
kinahusika pia,,,,,,,,,,,mafeminist nawasubiria hapa.

Ukijisahau ukamchamba kama unamchamba shost akikunasa kofi moja ili akili irudi mahala pake sawa,ila kipigo cha mbwa mwizi hutoki ndani wiki unauguza majeraha HAKIKUBALIKI!!
 
Ukijisahau ukamchamba kama unamchamba shost akikunasa kofi moja ili akili irudi mahala pake sawa,ila kipigo cha mbwa mwizi hutoki ndani wiki unauguza majeraha HAKIKUBALIKI!!

yes your right
 
Tatizo ni nini?

Kuna makosa ya kufikishana huku na kuna makosa ya kipigo!

kuna watu wanaleta uzungu hapa wakati tumekulia mazingira tofauti ,mie nakuunga mkono kabisa kwa sababu naelewa unachokisema.
 
Kama ni adhabu stahiki sawa

Hapana
Sijasema hivyo!

Kuna kanuni za kimaumbile kijana
Kanuni na malezi hayaruhusu mke kumuadhibu mume!
Hizo kanuni na malezi yasiyoruhusu mke kumuadhibu mume hazijakaa sawa.
Kwani adhabu ni kipigo tu? Au mume yeye malaika hakosei?
 
Halafu muda mwingine huwa nawashangaa sana ukiwa mpole ukijaribu kuongea nae kwa upole anakuona ----- ila uki mtreat harshly ndo akili zinakuwa zinamkaa sawasawa .

nilisha zibuaga incharge mwanamama
thou nilihamishwa idara but heshima hadi leo ipo
 

Mkurya wa kwanza kusikia mkono wake mgumu (kinyume cha mwepesi)....Manake nyie wenzetu mnastahili tuzo kwa eneo hili....
 
Ila huyo mdada sijamkubali kwa kweli, anyways, sijui manake tunatofautiana kwenye reactions.....Ninaweza nikasema siwezi kufanya hivi lakini likinikuta nakuwa wa kwanza kufanya kile nilichokikataa awali....

Huwezi jua huyo dada alifanywa nini kabla, labda moja kati ya haya yanayojadiliwa hapa ndio huyo dada amefanyiwa kwa hiyo naye ndio reaction yake...
 
Ndugu mleta mada, je una uhakika gani kuwa huyo mwanamama aliyetema mate alikuwa ni mke/mpenzi wa huyo bwana?

Huwenda alikuwa ni changudoa au hawara na kuna mahala walipishana au ilikuwa ni kulipizia kisasi...
 
Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho!!

Kuna mvumilivu mmoja nilikutana naye wakati bado natibu Hospitali...huyu jamaa alikuwa Polisi anaishi kwenye kota za Polisi, akamfumania mkewe na Polisi mwenzake kitandani kwao wakibanguana! Polisi doezi likakimbia mbio uchi wa mnyama, jamaa akaanza kumhoji mkewe kulikoni, akajibiwa "usin'tishe, nampenda na simuachi"...jamaa akaenda jikoni akachukua kisu akajichoma tumboni. Kaletwa hospitali utumbo unaning'inia...lakini HAKUMPIGA MKEWE..AT ANY COST!
 

duh wea do u get such ladies adi wanawakosea heshima in public?
 
mwanaume na maguvu yako unaacha kulimanunatumiankumpigia mwanamke? Halafu bado watu wanakuita wewe ni mwanaume??
 
mwanamke anapgwa kwa doti ya kitenge jaman...umpge mkubwa mwenzio na mwanao utamfanyaje?? Kama mikono inawasha mtafute kaseba muende sawa. Kwani mkipeana nafasi kunatatzo gan? Wandugu kuna egg skulls shaur yenu.
 
ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wakati mwingine hatupishani na punda yaani bila mijeledi hatwendi mbele,hivyo busara inahitajhika zaidi ikiwezekana kipondo kinahusika pia,,,,,,,,,,,mafeminist nawasubiria hapa.

punda??!emu leta heshima kama unajihisi unaelement za upunda unataka kutuaminisha na mama yako pia anazo??! mwanamke ni mtu pia naye anahasira sema kukupiga hawez ndo maana anaongea hivyo usisubutu kumgusa mwanaume halisi hupigana na wanaume wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…