Mwanaume usiweke moyo wako kwa mwanamke asilimia mia, siku akikumwaga utalia

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,028
Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia

Mwanaume anaweza akachepuka na bado akaijali familia yake na kila kitu kuazia matunzo akaendelea kutoa ila mwanamke akianza kukusaliti jua ndio ntolee

Sasa ukiwa na mwanamke hasa mchumba epuka sana kuwekeza fedha nyingi au kumwaga hela ukijua ndio tayari ni wako , my friend mchumba hatakiwi kuwekezewa mali ukiwekeza fanya kama unabeti ili siku akija kukubadikikia usije ukashika kisu , misiba hatuitaki

Mpende mwanamke kwa kiasi na usiamini kuwa utakuwa naye milele ili siku akija kubadilika usije ukaja kulia, mwanaume anaweza akachepuka na mwanamke aliyekutana nae ndani ya mwezi mmoja na bado akaendelea kumjali mkewe na familia ila mwanamke anaweza akachepuka na mtu aliyefahamiana nae ndani ya wiki tu na akabadilika kabisa ni wepesi kubadilika (sio wote)

Hivyo kama upo na mwanamke na unajua hujamuowa ishi nae kwa akili, kama huna moyo acha kabisa kutumia fedha nyingi kumhonga au kumfungulia mabiashara makubwa ukidhani utamdhibiti , siku akija kubadilika hutoamini macho yako, ukitoa hela toa kama unabeti ukijua kuna hasara na faida ili siku akifanya yake usije ukaanza kunoa panga.

Mpende kwa kiasi ukijifanya unampenda na kumnyenyekea umeisha, wanawake wakiona mwanaume zezeta kukusumbua ni kawaida, yani kuwa nje ndani asijue kama yeye ndio kila kitu kwako ili asikuletee masihara, mpende mhudumie kwa kiasi ila sio kwa misifa akija kubadilka narudia tena utakuja kufungua uzi hapa kulalamika
 
Hili liko wazi hata kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume

Kimsingi kupenda na kumuonesha mtu upendo asiyejua thamani ya upendo matokeo yake ni maumivu.... na ubaya kuhusu moyo ni haupangiwi kiwango cha upendo...unajikuta tu umeshapenda sana ama umeshapoteza interest na uliyenaye

Kupenda ni utumwa
 
Haya mambo hasa vijana huwa hawayelewi ni mpaka yamfike ndiposa agutuke kuwa niliwahisikia, niliwahi ambiwa, niliwahi soma na niliwahi shuhudia.
Kina cha maji yanayotiririka au yaliyotuama usiyapime kwa kuzamisha miguu yote. Mguu 1 ndani mwingine nje.
Na sijui inakuwaje mtu humjui ila kwa vile kakuvutia kwa sura na muonekana basi we ni kuwekeza tu muda wako na pesa zako kwake likibuma ndo unasikia mtu kaamua kujinyonga.
Hujuilizi ni wangapi wanamtaka kama wewe na ni wangapi wana uwezo kuliko wako? Ndo maana mwanamke kushawishika ni haraka na upesi.
Haya bana endeleeni ili mjifunze make kwa baadae inakuwa vizuri mwanao akianza kubalehe we ni kumuuliza mwanao hivi kipi sijafanya dunia hii?
 
FB_IMG_1603396526264.jpg
 
Hili liko wazi hata kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume

Kimsingi kupenda na kumuonesha mtu upendo asiyejua thamani ya upendo matokeo yake ni maumivu.... na ubaya kuhusu moyo ni haupangiwi kiwango cha upendo...unajikuta tu umeshapenda sana ama umeshapoteza interest na uliyenaye

Kupenda ni utumwa
Nataka niwe mtumwa wako
 
Back
Top Bottom