Mwanaume usilaumu Mwanamke

Nipe namba za huyo mtoto wako [emoji23]anionyeshe mganga wake kwanza, alafu nita comment baadae
 
Remember na wao ni binadam, they can fuk up too. Ukikaa kimya wanakupanda. Muonyeshe makosa yake kwa utaratibu
Dugu mwandishi, sijasema ukae kimya sehemu yeyote. Ila nimeongela ku-apply reverse psychology to control your women.

Ahsante kwa kuelewa
 
Vijana wa namna hii wana mchango mdogo mno kwa Taifa.

#Maisha Mashaka Matupu
 
Akikunyima unyumba miezi SITA Inatakiwa uchukue jukumu la kumbembeleza.Ukimkuta AnaTombwer na wahuni ndani ya geto lako zidisha kumbeleza.
Akisema anamchukia Mama Yako au familia yako zidi kumsifia.
Akiwa mvivu ndani ya nyumba Fanya wewe alafu endelea kumbembeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…