Mwanaume usilaumu Mwanamke

Armani William

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
253
Reaction score
771
Nadhani moja ya sababu iliyonifanya kuachika ni kumlaumu mke wangu kwa mambo mengi na hivyo kusababisha mapigano/magomvi makubwa.

Nikiwa na mpenzi wangu mpya, simlaumu kwa chochote. Mimi huchukua jukumu kamili wakati jambo lolote linakwenda vibaya kati yetu na hilo husaidia kumtuliza. Inamtuliza hadi wakati mwingine anasema kwamba kwa kweli lilikuwa kosa lake na sio kosa langu

Lakini sikumruhusu achukue lawama yoyote kwa jambo lolote linaloenda vibaya kati yetu. Ninabeba mzigo huo na hiyo husaidia kumfanya ahisi kupendwa na kuthaminiwa.

Tumemaliza safari ya wiki tatu pamoja โ€“-miji mitano, safari tatu za ndege, zaidi ya saa 20 kuendesha gari, shughuli nyingi โ€“ na tulikuwa na mabishano mawili pekee.

Nadhani hiyo ni nzuri sana.

Sehemu kubwa ya mafanikio hayo ni kwamba sikuwahi kumlaumu hata mara moja kwa jambo lolote ambalo lilienda vibaya.

Nikiwa na mke wangu wa zamani, niliona kama tupo "sawa", kwa hivyo akiwa anafanya makosa na asichukue jukumu la kuona amekosea, ningekasirika na kulalamika kwamba alikuwa hanitendei haki.

Hii mara nyingi ilisababisha mapigano/magomvi makubwa na baada ya muda ilisababisha kutengana, chuki, machafuko na kifo cha upendo wetu kwa kila mmoja.

Kumbuka:

Yeye (Mwanamke) ni kama mtoto

Kila kitu ni kosa lako (mwanaume), hakuna kosa lake

Kazi yako ni kumtunza, kumlinda, kumpenda, kumwongoza, kuwa mvumilivu kwake, kutobishana naye, kumlaumu, au kumlalamikia kuwa "hajakutendea haki"

She is not being "unfair", she is being a woman.

And a woman by her very nature is blameless.
 
๐Ÿ˜ฌ
 

Attachments

  • 20220520_174148.jpg
    22.1 KB · Views: 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ