Mwanaume usijichukulie poa

Mwanamke akuoneshe njia ya kupita?
Kwani wewe kipofu huoni unatakiwa kupita njia gani ? Miruzi mingi inapoteza jibwa, ukiwa na lundo la wanawake utapotea Ila ukiwa na mmoja utajua uelekea ulipo
 
Huu uzi uwekwe kwenye katiba mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli ndo huelewi usemalo, Haya wewe nikuulize maana ya mafanikio ni nini?
 
Haha 😂 huyo mwanamke ni Mama Yako (mzazi/mlezi) ndio maana yake, sio Hawa kausha damu Mpwa, akina Hadija ndala ndefu.
Bado hata bila mama haikuzuii kufanikiwa mkuu, rejea kuna watu mama zao walifariki tu baada ya wao kuzaliwa ila still wana mafanikio.
 
Nyuma ya mwanamme aliefanikiwa nyuma kuna mwanamke aliemletea dharau
 
Hivi huyo mwanamke wanaemzungumzia ni Mke au Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…