kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Naomba msinielewe vibaya wana wana MMU.
Ila hii kitu kwa wanawake ni zawadi kubwa sana wamepewa na Mungu.
Mfano mwanaume anaweza kuwa anasauti kama ya mbuzi beberu, wanawake wakapanga foleni kwake.
Mwanaume anaweza kuwa anamiguu kama chura, wanawake wakapanga foleni kwake.
Anaweza kuwa na pua kama rungu, wanawake kwao inakuwa hoi bin taabani.
Binafsi hii karama kwa wanawake naifagilia sana la sivyo dhana ya mapenzi isingekuwepo.
Na siku hizi wanapenda sana walemavu, ujue mwanaume mwenye dushelele zaidi ya inchi 7 ni ulemavu.
Kwa hiyo kama kuna mlemavu mtaani basi wanawake upeana taharifa na kila asikiaye utamani kuuona huo ulemavu.