Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,632
- 81,727
Hujawahi nkuta nimetinga mnyonyo wangu na travoo hapo bakta nadunda kama tenesi. Au siku nakula moka daboroo ni kwerekweche.
Hapana mpendwa nataniaunataka unambie walikufanyia tambo ?
Nakuja huko kwa piemuHapana mpendwa natania
Kuna kufuli mpendwanakuja huko kwa piemu
toka lini ? juzi kulikua waziKuna kufuli mpendwa
Mpendwa wewe kazi yako kuchungulia pm 😄😄😄toka lini ? juzi kulikua wazi
Dear sasa nifanye nini tena zaidi ya hiko,abiria chunga mzigo wakoMpendwa wewe kazi yako kuchungulia pm 😄😄😄
😍😍Kwa kweli bebiDear sasa nifanye nini tena zaidi ya hiko,abiria chunga mzigo wako
😘😘😍😍Kwa kweli bebi
Ungemstua msela usimuache aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna msela alivaa suruali inambana matako alafu ni ya kitambaa cheupe na chepesi kinaonesha mpaka boxer yake nyekundu sasa akawa anatembea mbele nyuma nipo mimi,rafiki yangu na wadada kama 8 ,wale wadada walicheka kwa sauti njia nzima mpaka jamaa akakosa amani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute kavaa hivyo ana vipaja, vimiguu kama kuku.
hahaha mkuu mchuma janga hula na wa kwao😂 (kwa sauti ya Rc mwanri)Ungemstua msela usimuache aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
khantwe dear kuna watu wanavaa hovyo sana ukiwaona utawahurumia[emoji23] kuna jamaa nilikutana nae kavaa soaks nyekundu na mkononi simu ina kasha jekundu na chini ana viatu vyekundu juu akapiga shati nyeupe kiuno kina mkanda wa kijani