Mwanaume ukijipenda...

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Mwanaume ukiamua kujipenda wewe mwenyewe kwanza unapunguza hatari ya kula papuchi kwa gharama kwa asilimia [emoji817],hivi unajua kuwa muonekano huongeza uwezekano!?

Ipo hivi ukiongea hata kwa bahati mbaya kuwa una milioni 100 kwenye akaunti yako ya benki kwa watu ambao hawakufamu cha kwanza kabisa wataangalia muonekano wako je?

Umekaa kipesa pesa ama umepauka? Lengo kuu ni kutathimini kile unachosema kinalingana na muonekano wako. Imagine unakutana na mtu amevaa saa ya milioni moja,ana simu ya 2milioni,amevaa kiatu cha laki 5,amevaa cheni ya laki 5 kwa akili ya haraka haraka utasema huyu mtu ana pesa hata kama hana!

Mwanaume acha ujinga wa kuhonga kijinga fanya hivi chukua hicho kimilioni ama kilaki tano unachotaka kuhonga kajipige shopping wewe mwenyewe,yaani kadri unavyozidi kujipiga shopping ndio unavyozidi kula papuchi za bure!

Na ikifika hatua ukajichanga ukanunua kigari cha kuzungukia mjini ndio utazidi kula papuchi kwa 0 cost!

N:B,Jipende ule papuchi za bure
 
Nadhani Kuna huyu Slay queen hapa karibu nimesikia akimuambia mwenzake "huyu mwanaume namuacha bhana. Mtu anaonekana anauwezo wa kunisaidia lkn hajanipa Hela, hanijali. Yaani mtu anaonekana aaweza kabisa anaweza kunipa hata laki tatu lakini hajanipa Kodi anasema Hana..."

Nadhani kakutana na mwanaume anayejipenda.
 
Wanawake wanawajua nyie wapiga pamba ndo hamnaga kitu...hata show wanajua za kizembe. Usiwachukulie poa wanawake, kuna uzi juzi tu jamaa katoswa kisa kasema ana BMW na Harrier dem akajua tu hii ni charger type c
 
Vipi na yule aliyetoswa sababu ana BMW??

Au sio gari ya kuzungukia mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…