Mwanaume suruali VS mwanamke sketi

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
TAFSIRI
Mwanaume surual-mwanaume asie na kazi na anataka kuoa au kashaoa.

Mwanamke sketi-kaolewa au anataka kuolewa na hana kazi na hajishughulishi.

HAPO NI YUPI ANAKERA?MAANA SIKUIZI Mabachela tumekua tunaangalia vigezo vingi kweli,mfano una kasura kabaya au umbo kama jiwe la kwenye maji hapo ukiwa na chapaa UTAVUMILIWA.

Kimbembe uwe na mvuto ila kwenye pochi ni Mvutoless hapo valentine Utakua unaiskia kwa majirani akina Mentor na Evelyn Salt chezea pesa wewe! Tena sikuizi midume pia tunataka mke ambae anajielewa si kuvaa hereni tu! No apige kazi,Sio kitandani tu anajua mambo kama yupo ligi kuu ya England ila kwenye maisha ni zero.

Hawa wanawake sketi ni hatari wanapenda taarabu kwelikweli,kakariri maves yote ya akina mzee yusuph ila akiambiwa embu tubuni mradi mzuri anatoa macho kama komba wa kule marangu mtoni,pia wanaume surual weng wao ni wazee wa offer na kujisifu anajua mambo,kumbe ata jambo la kuwa mbunifu katika maisha limemshinda.. Akiambiwa ukwel ndo bifu limeanza...

Haya sasa wewe upo wapi? @lara1 Rocky1 Nyani Ngabu tinna cute Asprin Sista na wengineo
 
Last edited by a moderator:
wacha mi niswaki na kunawa uso kabla sijaenda kulala
ili kesho nikiamke nichomoke tu shaaa kazini. chezeya blue Monday wwe!
 
sidhani kama kuna mtu perfect hapa duniani. mada boring and childishhhhh !!ngoja nijuandae kuamka leo jumatatu. duH jana niliwasha pombe nyingi!!
 
so ukiamka unavaa tu na kusepa? we ni noumer aisee.
wacha mi niswaki na kunawa uso kabla sijaenda kulala
ili kesho nikiamke nichomoke tu shaaa kazini. chezeya blue Monday wwe!
 
Unajiona umekuaaaa kumbe mapangaboi,kaanzishe wazee forum
sidhani kama kuna mtu perfect hapa duniani. mada boring and childishhhhh !!ngoja nijuandae kuamka leo jumatatu. duH jana niliwasha pombe nyingi!!
 
hahahaaa... ntajie figa zake... nkwambie rangi mamaa!!

kuwa zinaandikwa hivi
1. BENKI KUU YA TANZANIA
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU KUMI 10000

2. BENKI KUU YA TANZANIA
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU TANO 5000

3. BENKI KUU YA TANZANIA
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU MBILI 2000

4. BENKI KUU YA TANZANIA
FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU MOJA 1000

hizib note rangi zake zinanitoka akilini siku hizi!
 

hivi lilendi.. wewe ni kondakta?
 
Unajiona umekuaaaa kumbe mapangaboi,kaanzishe wazee forum

we nae!! una avatar mbaya kama nini!!!

sijui ndo sura yako??

teh.. mambo vipi Sam Love!!! miss you nigga!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…