Mwanaume ni...

Pato_Verified

New Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
1
Reaction score
1
:flypig: Mwanaumme ni kukiss dame wake kila wakati ndo asiongee maneno mob

:flypig:Mwanaume nikupiga gate ya plot na mawe kubwa ndio majirani watoke waone akiingia na dem msupuu.

:flypig:Mwanaume ni kununua njugu kumwaga kwa mfuko na kutembea akikula moja moja.

:flypig:Mwanaume ni kupanga grains za mahindi kwa path hadi ndani ya nyumba yake ndo kuku ya jirani iingie kwake.

:flypig:Mwanaume ni kuweka sufuria empty kwa jiko then ikikuwa moto anamwagilia maji ndo jirani wajue anakaranga nyama.

:flypig:Mwanaume ni kumshika dem mkono kwa super-market ndio asi pick vitu ovyo ovyo.

:flypig:Mwanaume ni kucatwalk kwa nyumba ndo panya zitoroke.

:flypig:Mwanaume ni kuenda kubadilisha mtungi ya gas na kurudi na ya keg.

:flypig:Mwanaume ni kufunga mlango na kufuli mbili ndio landlord akikam asipate space ya kuweka yake.

:flypig:Mwanaume ni kumeza sphaghetti mzima ndio aconfuse minyoo.
 
Ati mwanaume ni kucatwalk kwa nyumba ndio hizo panya zitoroke......?........kwani hizo panya ziko mob huko kwa keja......?
 
Hadi nikielewa ndipo nitarudi kuchangia huu uzi aiseeee.....
 
Hahahaa the humour of these jokes is great kwa sababu ya hizo broken .. Wakenya jitahidini jamani, mnashindwa hata na watu wa uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…