Mwanaume ni Nani ???

atouch

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
303
Reaction score
184
Miaka ya 90 ! Kurudi Nyuma huko

Mwanaume alitambulika kwa Majukumu Anayo yafanya. 1.Ikiwemo Kuwinda
2.Kulisha Familia
3.Kulinda familia
4. Na mengineyo yaliyoitaji nguvu....

Kulikuwa na Mipaka maalumu na Jamii mzima ilifahamu hayo, Mwanamke alikuwa akisubiri Nyumbani na Kuandaa chochote kitakacho letwa na mume kutoka Mawindoni, Na Familia ilikuwa yenye furaha , heshima , na ndoa zilidumu sana sababu Kila Mmoja alimtegemea mwenzie kwa Majukumu wayafanyayo.

Mwanaume alimuheshimu mkewe, sababu alibaki na familia, naaliiandalia chakula nkuipa malezi sahii !!

Mwanamke alimweshimu Mumewe kwa kuhatarisha maisha yake kwa kuwinda Mwituni kwenye wanyama wakali na kuleta chakula nyumbani ! Hatukusikia mwanamke akiingilia majukumu ya mwanaume...

Swali linakuja Ni kitugani kina tutambulisha wanaume wa Leo, Je ni kulisha familia ? Wanawakena wanalisha familia Sikh hizi !!! Kuleta Fedha nyumbani ? Wanawake wana Pesa kuliko wanaume !! Kufanya Kazi ngumu, maana hata wanawake wanabeba zege Siku hizi, Mpaka engine wanabeba !

Mwanaume anatambulishwa na kitu gani kwenye ulimwengu huu wa Utandawazi ? Jamii inapotea sababu mwanaume hajui Nafasi yake kwenye Jamii !!?
 
Kumiliki Nyoka ndani ya boxer ndio kunamtambulisha mwanaume wa utandawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…