Mwanaume ni Mwanadamu wa aina gani?

Nyie Yakwenu mbona amuyasemi kunamtafiti moja alifanya utafiki akagundua Mwanamke nikiumbe mkatili sana kwenye tafiti wake aligundua wachawi wengi ni wanawake ukikuta kudindi la wachawi 10 wanaume wawili wanawake 8 mnaweza kunieleza kwanini mko hivyo?
 
Unaongea na nani asee
 
I hope you're doing well, nimekukumbuka asee, zile moments [emoji17]

Siwezi kataa..
Im good[emoji4]nimekukumbuka pia[emoji4]

Vizuri ngoja nijipange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lol
 
[emoji5][emoji5]
Angalia pm,
Hadi lini utakua tayari?
Im good[emoji4]nimekukumbuka pia[emoji4]

Vizuri ngoja nijipange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lol
 
Mwanaume ni kiumbe rahisi sana hasa akitongozwa na mwanamke mara nyingi huwa hachomoi na hasumbui
Sisi tunachokitaka sikutia tu " .kupenda kwa mwanaume ni suala nyeti mnoo .. Tunaweza kutembea na wanawake hata kumi kwa muda mchache halafu ikawa haujampenda hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…