Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
- Thread starter
- #21
Ungenibamba wakati ule nikiwa under 18, ungefanikiwa kwa kutumia maneno tu. Lakini sasa hivi maneno hayanitoi pangoni. Kwa sasa maneno yako lazima yaambatane na supportive documents.
^^
Ha ha ha umenifanya ni tabasamu,,supportive documents,,kama naomba ajira? Loo! Mapenzi ya leo kaazi kweli kweli.
^^