Mwanaume ni kugangamala hakuna lelemama

Mwanaume ni kugangamala hakuna lelemama

Hii michezo waifanye ulaya tu..
Bongo ukijichanganya unavunja kidevu..
Kwanza bongo kamba feki ,vyuma vina kutu..
Waulize tu mafundi wa tanesco yanayowapata
Mkuu, hao mafundi wa Tanesco lazima waumie kwasababu hawafuati safety precautions na hawafanyi inspiration kwa hizo lifting equipments, na hata sina hakika kama wanafanya rope/body harnesses satisfactions kwa third party
 
Mkuu, hao mafundi wa Tanesco lazima waumie kwasababu hawafuati safety precautions na hawafanyi hizo lifting equipments, na hata sina hakika kama wanafanya rope/body harnesses satisfactions kwa third party
Ndio maana nasema hio michezo waifanye ulaya lakini bongo utakufa siku si zako uache watoto wako yatima..

Kwanza hizo equipments nani atakupa kibongo bongo??
 
Ndio maana nasema hio michezo waifanye ulaya lakini bongo utakufa siku si zako uache watoto wako yatima..

Kwanza hizo equipments nani atakupa kibongo bongo??
Mkuu, kama haujui bora ukae kimya...
Kwataarifa yako hizo lifting gears zimeanza kuingia hapa Tz kuanzia mwaka 1998 (hapo ndipo nilipo anza kuziona kwa macho yangu).
Na baada ya kuanza kutumika kwenye viwanda, na pia baada ya watu wa OSHA kupata darasa la kutosha.... Mwaka 2007, rasmi OSHA ilianza ukaguzi wa Rope, Slings, Chain blacks, Cranes na all lifting equipment.
Pia sheria ilipitishwa rasmi kwamba hakuna/marufuku na jinai kutumia rope assess and lifting equipments pasipo OSHA kama third party kusatisfie
 
Mkuu, ebu tembea ujifunze ama walau upate exposure hata kidogo..... kabla ya kujibu majibu laini kwenye professionals za wanaume aiseeee


Mkuu unaweza ukawa umenielewa tofauti. Nilikua najibu pist yako hasa pale uliposema hua unaangalia picha unashangaa ilikuaje ukawa unaning'inia 50 meters above the ground? Ndio nikasema unapokua na uhitaji unaweza kufanya kazi ambazo baadae unashangaa ujasiri ulitoka wapi?

Kosa langu inaweza ikawa kutumia neno njaa nikimaanisha uhitaji. Kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine, niwie radhi
 
Nawaheshimu wanaofanya usafi vyooni tu...wanakutana mizigo ya kila aina
 
Mkuu unaweza ukawa umenielewa tofauti. Nilikua najibu pist yako hasa pale uliposema hua unaangalia picha unashangaa ilikuaje ukawa unaning'inia 50 meters above the ground? Ndio nikasema unapokua na uhitaji unaweza kufanya kazi ambazo baadae unashangaa ujasiri ulitoka wapi?

Kosa langu inaweza ikawa kutumia neno njaa nikimaanisha uhitaji. Kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine, niwie radhi
Sawa mkuu, ebu ukuwe na amani tele
 
Back
Top Bottom