Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
- Thread starter
-
- #21
Binafsi Yako Huwa Unapewa Hayo Mahitaji......??Hapa watakuelewa wanaume wachache sanaaaa. Walio wengi watakuona umeongea pumba wakati ndio ukweli wenyewe huo.
Tuwezesheni jamaani na penye kupewa mahitaji tunayohitaji ikiwezekana pia tupeni.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
HongeraBaadhi Tuna Tekeleza Vzr Majukum Yetu
Huwa haukosei ukikuta mada kama hii....[emoji2] [emoji2]Umeongea ukweli mtupu!!! Shida ni utekelezaji tu
UmeonaeeHuwa haukosei ukikuta mada kama hii....[emoji2] [emoji2]
AvacheeHongera
Mungu ni mwema sana ikiwa umemuomba hitaji la moyo wako.Umeonaee
Natamani family yangu iwe ya mfano kama Mungu akijaalia!!!!
AmenMungu ni mwema sana ikiwa umemuomba hitaji la moyo wako.
Mambo muhimu niliyo jifunza kwenye ndoa ni mwanaume kumpenda mkewake, na mwanamke kumtii mumewe.
Na kila mmoja akijiweka kwenye nafasi yake, basi inakua butudani na hapo ndipo ndoa hugeuka na kua Paradiso...[emoji39] [emoji39]
Propaganda Tuuuu Izooo
funguka dadalaiti....
Mbona huu ni uonevu emmyta ?.Tuwezesheni jamaani na penye kupewa mahitaji tunayohitaji ikiwezekana pia tupeni.
Heshima boss luckyline ?.Mwanaume pesa wacha uongo.
Kwahiyo mwanaume kichwa? Kichwa cha wapi labda?Heshima boss luckyline ?.
Mbona nadharia yako ina kasoro?. Kwa nijuavyo mimi "Matumizi ya fedha yalianza kutumika miaka 2000 iliyopita". Je kabla ya hapo Uanaume ulikuwa nini?.
Karibu tupanue uelewa na kujifunza pia.
Unafahamu etimolojia (yalikozaliwa) maneno "Mwanaume ni kichwa"?.Kwahiyo mwanaume kichwa? Kichwa cha wapi labda?
Haijalishi ni pesa kiasi gani ila hata zamani pesa ilikuwepo, ndo maana wakati wa kutoa walipeleka ng'ombe badala ya pesa.
Ng'wadela mayolaiti....
Nakuelewa sana mkuu basi tu kunogesha jukwaaUnafahamu etimolojia (yalikozaliwa) maneno "Mwanaume ni kichwa"?.
Unaposema "zamani pesa ilikuwepo" una fasili ipi?. Zamani ni lini kimantiki?.
Wewe mubaya kumbe luckyline ?.Nakuelewa sana mkuu basi tu kunogesha jukwaa