Mwanaume mwenye IT skills anahitajika haraka

Mwanaume mwenye IT skills anahitajika haraka

Mim nina lesen peke yake vp naweza kupata mkuu

Vigezo na masharti huzingatiwa....kama mwenzako atakidhi vigezo, itakuwa ngumu kupata bt usikate tamaa, go there and try to convice them.
 
Uchízi sio lazima uokote makopo .salary jiwe nne na wewe huna kaz alaf unasema wanakunyonya ..we endelea kusugua mabench kitaa na utakufa lofa..

Sio wote wanaoomba kazi, hawana kazi. A cow always search for good pasture....kuna watu wanaomba kazi ili kuongeza kipato zaidi
 
Kwa hisani ya Zoomtz- ndo nilikotoa hizi taarifa!!!!!!kuna jamaa anaitwa Mr Rohit 0785801348, ana kampuni inaitwa Europecar, anatafuta front ofice manager, vigezo: english iwe reachable sana, leseni ya udereva, active, energetic, experience kiasi, IT skills ziwemo na anahitaji mwanaume tu..Kwa maelezo ya haraka niloyapata mshahara 400,000/..jana nilim direct mtu akaenda kwa interview ila jamaa mwnyw ni graduate so hajajiamini akapigwa chini...IT skills na Leseni ndo vigezo muhimu..hebu changamkieni jamani, ofice Serena hotel...

Atakaepata aje na taarifa

Mr. Kandili, mbona nimempigia simu mr. Rohit kwenye namba ulioiweka, ila amesema deadline ishapita kwani deadline ilikuwa jana na kwenye huu uzi unasema deadline ni mwisho wa mwez huu wa tano. ila kama bado mi nipo tayari waweza ni pm wakati wowote. Natanguliza shukrani
 
Kaka mimi nina vigezo ila sina leseni. Ni head wa department na it technician katika chuo kimoja hata dar vp naweza kupata hyo fursa?

head of department bado unaulizia kazi ya kutumwa na mtu tena kwa laki nne kwa mwezi....? kwangu mie jambo hilo ni la ajabu
 
Back
Top Bottom