kindili kindili
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 242
- 54
Kwa hisani ya Zoomtz- ndo nilikotoa hizi taarifa!!!!!!kuna jamaa anaitwa Mr Rohit 0785801348, ana kampuni inaitwa Europecar, anatafuta front ofice manager, vigezo: english iwe reachable sana, leseni ya udereva, active, energetic, experience kiasi, IT skills ziwemo na anahitaji mwanaume tu..Kwa maelezo ya haraka niloyapata mshahara 400,000/..jana nilim direct mtu akaenda kwa interview ila jamaa mwnyw ni graduate so hajajiamini akapigwa chini...IT skills na Leseni ndo vigezo muhimu..hebu changamkieni jamani, ofice Serena hotel...
Atakaepata aje na taarifa
Atakaepata aje na taarifa