Mwanaume mmoja anaweza kuwapa mimba wanawake wote duniani!!!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,806
Habari!
Ni mara chache sana sayansi inakosea. Leo tuongeze jambo kidogo la kisayansi.
Dunia mpaka sasa ina watu hai 7.625 Bilioni (today's clock). Katika hao, wanawake ni 3.77 Bilioni.

Mwanaume mmoja mwenye afya hutoa sperms milion 40-1.2 Bilioni kwa mkupuo mmoja. Katika maisha yote (assume atakufa baada ya miaka 75) huweza kutoa sperms bilioni 525. Hivyo ukizigawa sperms hizo zinatosha kuwaingia wanawake wote duniani na kuwatia ujauzito na za ziada zikabaki kwa ajili ya kuogea!!!

Be proud to be a man!!!
a53.jpg
 
Huwezi broo coz ukifanya mara1 lazima uupe mwili siku5 basi 7 kujiweka vzr. Istoshe hizo spm kwa mkupuo1 huwezi zitenga ili kila mdada apate ya kwake...
Ni sayansi tu hapo rafiki. Kuna kitu kinaitwa kupandikiza mbegu, sio lazima ufanye penetration
 
Habari!
Ni mara chache sana sayansi inakosea. Leo tuongeze jambo kidogo la kisayansi.
Dunia mpaka sasa ina watu hai 7.625 Bilioni (today's clock). Katika hao, wanawake ni 3.77 Bilioni.

Mwanaume mmoja mwenye afya hutoa sperms milion 40-1.2 Bilioni kwa mkupuo mmoja. Katika maisha yote (assume atakufa baada ya miaka 75) huweza kutoa sperms bilioni 525. Hivyo ukizigawa sperms hizo zinatosha kuwaingia wanawake wote duniani na kuwatia ujauzito na za ziada zikabaki kwa ajili ya kuogea!!!

Be proud to be a man!!!View attachment 806615
[emoji125] mi napita tu mkuu
 
Back
Top Bottom