mwanaume kwa faida yako tu, mwanamke

mwanaume kwa faida yako tu, mwanamke

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
huwa anachukua kila kosa lako na kulifile. Mara nyingi unakuwa pengine ufahamu kama ni kosa umefanya au umechukulia kika waida tu mfano umetoka na mpenzi wako ukawa unamwangalia muhudumu wa kike kwa kipindi kirefu wakati akichukua order yako, niamini mimi ameshaweka kwenye file lake. Mwanamke anao uwezo wa kuweka makosa yako mengi sana moyoni mwake kwa kipindi kirefu sana.
Pindi mambo yakiwa to much, ndipo pindi mrupuko mkubwa utokea na kuleta madhara makubwa ambao mrupuko huo umetokea ndani ya mwezi kwa kukurupusha makosa ya zaidi ya miaka iliyopita.

Pindi mpenzi wako ukihisi amekasirika usiache amalize na neno "I'm Okay" kikawaida wafanyavyo. Mpe moyo, mwambie hapana na ruhusu masikio yako kumsikiliza nini anacho ndami ya moyo wake azungumze la sivyo!!!

Ukiwajua Wanawake are very interesting creatures, nitakuwa nawapa siri ya wanawake ili mpate kuwajua ili ndoa na mahusiano yenu yapate kudumu


 
Katika watu wanaosema kuwa wanajua siri za wanawake nawe humo?
si bora ungefanya jambo la maana kuliko kuwadadavulia wenzio mambo ya kiefb hapa.
huwa anachukua kila kosa lako na kulifile. Mara nyingi unakuwa pengine ufahamu kama ni kosa umefanya au umechukulia kwaida tu mfano umetoka na mpenzi wako ukawa unamwangalia muhudumu wa kike kwa kipindi kirefu wakati akichukua order yako, niamini mi mi ameshaweka kwenye file lake. Mwanamke anao uwezo wa kuweka makosa yako mengi sana moyoni mwake kwa kipindi kirefu sana.
Pindi mambo yakiwa to much, ndipo pindi mrupuko mkubwa utokea na kuleta madhara makubwa ambao mrupuko huo umetokea ndani ya mwezi kwa makosa ya zaidi ya miaka iliyopita.

Pindi mpenzi wako ukihisi amekasirika usiache amalize na neno "I'm Okay" kikawaida wafanyavyo. Mpe moyo, mwambie hapana na ruhusu masikio yako kumsikiliza nini anacho ndami ya moyo wake azungumze la sivyo!!!

Ukiwajua Wanawake are very interesting creatures, nitakuwa nawapa siri ya wanawake ili mpate kuwajua ili ndoa na mahusiano yenu yapate kudumu


 
Wanawake ni ngumu kuwaelewa.... Wala usihangaike kuwaelewa, tumia maarifa kuishi nao
 
Yeah, kitu ambacho mwenyewe ninakifahamu vizuri ni hicho cha kuambiwa niko sawa, usimuache, komaa nae atakueleza tu kinachomsumbua, mjaze ma hope ya uwongona kweli utamuona amechangamka.
 
Yeah, kitu ambacho mwenyewe ninakifahamu vizuri ni hicho cha kuambiwa niko sawa, usimuache, komaa nae atakueleza tu kinachomsumbua, mjaze ma hope ya uwongona kweli utamuona amechangamka.
Ujue sisi wanaume wengi pindi ndoa ikiwa ndoano huwa tunaangalia tatizo la wakati huo. kumbe kwa uwezo wa Mungu, ameweza wapa kipaji mama zetu kukaa na kitu kwa muda mrefu.
 
yan kama me siku nikiamua kusema ntakwambia vitu vingine ambavyo kipindi unafanya nilikuwa nakuchekea kabisa kumbe navyocheka nakuwa nalihifadhi vizuri, au nikichukia nakwambia "naumwa"naenda kulala ntaumwa hadi hasira zangu ziishe ndo ntapona hata kama siku tatu na hospitali utanipeleka maana huwa nazidiwa haswaaaa
 
Back
Top Bottom