Ana wanawake wengi mtoe mama Mercy,palikuwa Pana Lucy ,madam Rita k lynnMzee mengi ana wake wangapi?
Tofautisha mke na mwanamke, unaweza ukawa na mke mmoja ila una wanawake wengiBill Gates anao wake wangapi?
Unaongea usilolijuaBila shaka huna hela
Wanaume wengi ndo tunaangukia hapa!!Tofautisha mke na mwanamke, unaweza ukawa na mke mmoja ila una wanawake wengi
Hata sie wanaume maskini mmoja hatutoshi seuze matajiri
Unapigia chapuo ili nawe upate pa kujishikizaMwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
Tofautisha mke na mwanamke, unaweza ukawa na mke mmoja ila una wanawake wengi
Sio 'wake' wanawake.. simple logic!Bill Gates anao wake wangapi?
Sio 'wake' wanawake.. simple logic!
Tofautisha 'mke' na mwanamke.
Hunijui wewe .siitaji mwanaume wa jf .ninao wanaume kibao mtaani wanaonipendaUnapigia chapuo ili nawe upate pa kujishikiza
Ha ha ha ha
Miss natafuta nyegezi zitakuuwa hizo toa kitumbuaHunijui wewe .siitaji mwanaume wa jf .ninao wanaume kibao mtaani wanaonipenda
hao wazungu hawaaminiki unaweza kuta yeye ndio mkeBill Gates anao wake wangapi?
usibadili maudhui, mtoa maada kazungumzia wanawake sio wakeMzee mengi ana wake wangapi?
Hunijui wewe .siitaji mwanaume wa jf .ninao wanaume kibao mtaani wanaonipenda
Kwa hiyo wazungu hawachepuki sioUngesema mwanaume wa Kiafrica na siyo kusema mwanaume tu!
na wanawake wote hao hawatampenda mume huyo bali watapenda #pochi nene