[emoji23][emoji23] bana wee huyo mvulana na kwetu yupo aisee kila siku anatongozwa yeye.... Kimaadili kwakweli wanasema (wao) sio vyema mwanamke kumtongoza mwanaume ..... Lakini sasa dunia yetu ya sasa kutongoza ama kueleza hisia zako kwa mkaka sio kesi ... Kwanini ufe na mfadhaiko wa moyo jamani na mdomo unao na moyo wako unakunjamana ... Sema tu mwenyewe nikikupenda ukanikaa rohoni wee nikazificha na bado naumia mie nakwambia tu utajua mwenyewe
Sijamwambia hata mmoja ila nimesema nikikupenda sana ukanikaa rohoni haswa nakwambia tuWangapi umewaambia?!
Swali zuri sana sio kuongea tuWangapi umewaambia?!
So mpaka wakati huu hajatokea hata mmoja ambae ww ndio umemfungukiaSijamwambia hata mmoja ila nimesema nikikupenda sana ukanikaa rohoni haswa nakwambia tu
Hujawahi kupenda kiasi hicho?!Sijamwambia hata mmoja ila nimesema nikikupenda sana ukanikaa rohoni haswa nakwambia tu
Ni kawaid anaeona ni tofauti basi ni ushamb huosikia hii;
kijana mmoja hivi wa mtaani kwetu ni bingwa sana sana wa kula mademu wa kitaa, na kijana huyu anajisifu sana kuwa kwa mara nyingi mademu ndio wanamtogoza lakin yeye hana time nao,
ishu inakuja hapa;
marafiki na wadau wanao jiita wagumu wana mponda sana, wanadai mwanaume kutongozwa na demu ni kinyume na maadili ya kibongo, wanasema kwa demu anaye mtongoza mwanaume basi uyo demu ni malaya au anataka aliwe tu, ooh! kijana ni domo zege ajui kutongoza.
naona majamaa wanamuone wivu tu huyu kijana.
hivi watanzani bado tunaamini nini kuhusu mwanaume kutogozwa na msichana.
mwanamke haruhusiwi kusema hisia zake kwa mwanaume?
mwanamke akimtogoza mawanume anaonekana kama malaya?
ni vibaya mwanaume kutongozwa na mwanamke?
sielewi???