Mwanaume kutoa manii wakati wa haja kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kutoa manii wakati wa haja kubwa

Discussion in 'JF Doctor' started by Msongoru, Sep 15, 2008.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Madaktari hebu mtoe msaada kidogo jamani. Kuna tatizo la mtu wa jinsia ya kiume anapokuwa anajisaidia haja kubwa akijikamua na manii nayo yanotoka! Hii inasababishwa na nini?
   
 2. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hujaeleweka, fafanua zaidi.
   
 3. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huaelewa kipi? Wakati wa kujikamua mavi, na wakati huo huo unashtukia shahawa zinatoka kupitia kwenye uume!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145


  Mkuu hujamwelewa wapi?
  Yaani anapo jikunja kukata gogo huku mbele mbegu zinatoka......
  Dr. wetu atakusaidia...........Lakini je uume iwa unakuwa umesimama?
   
 5. a

  apple1 New Member

  #5
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah ngugu yangu umeeleweka kabisa maana hata mimi kuna wakati hunitokea ila ukienda hospitali watakupa dawa wakidai kua sometimes unakua na viambukizo vya wadudu fulani
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Sep 15, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Msongoru,

  Wala hujakosea na sio ugonjwa...hutokufa It happens.
  Mimi ilikua inatokea zamani nilipokua shule lakini
  siku hizi hakuna tena.Mawazo yangu haya:

  Kwanza kabisa iwapo ulikua unafikra za kujamiana na uume
  ukakusimama lakini hukutimiza lengo, basi manii yanabaki 'mitaroni'.
  Unapoenda haja kubwa 'channel' zinafunguka na masalia ya
  manii yanatoka.

  Kisha labda kuna possibility you are a very healthy individual with
  a high libido.Kwa hivyo mwili una-manufacture manii kwa kiwango
  kikubwa na iwapo hupati nusra ya kujamiiana basi yatatoka tu.
   
 7. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nina mke, na kujaamiana ni kama kawaida. Ila naanza kuona huenda si tatizo kama tuko wengi wa jinsi hiyo. Any way kama uko msaada zaidi naomba.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  haina madhara kwa afya.......ni kama ile wakati wakiwa ndani ya chumba cha mtihani watu wanatokwa na manii....hii ndio nashindwa kuilewa maana kipindi kile mtu anakuwa na uoga iweje ajipigie bao ghafla?
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Sep 15, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wow!!!!!...Yo Yo...umeniacha hoi babu...
  Watu wanapiga bao ndani ya chumba cha mtihani duh!..hio kali.
   
 10. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2008
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Duh hii kali tena ila si ajabu maana nimesikia pia kuna watu hupiga bao hata kabla uume hauza simama, sijui imekaaje hiyooo.

  Mimi nijuavyo ni kwamba ili manii yaweze kutoka ni lazima uume uwe umesimama imara, sasa kama uelewa wangi ni sahihi basi hilo litakuwa ni jambo la kawaida.
   
 11. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uume unakuwa kawaida tu!
   
 12. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Msongoru... sina uhakika sana kama kuna maelezo ya kitabibu kuhusu hili jambo ila kwa mtazamo wangu nadhani inaweza kusababishwa na kukaa kwa kipindi kirefu bila kujamiiana kiasi kuwa sperms zinarundikana kwa wingi na inapofika muda wa kwenda haja kubwa kwa kujikamua sana pressure hiyo inapelekea manii kutoka.Kumbuka unapokwenda haja kubwa karibu kila kiungo mwilini hupata mstuko na baada ya kutua mzigo unahisi-kurelax. Ni hali inayonitokea hata mimi na hasa ninapokaa kwa kipindi cha kuanzia wiki moja na kuendelea bila kula mzigo. Sijui kama kuna madhara yoyote...
   
 13. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ah msongoro, hizo sio manii mzee...kama unataka kuhakikisha wakati zinatoka ujaribu kuzishika..nitofauti kabisa na lile bao la kawaida..hayo ni matatizo madogo tu yasikupe shida..nenda kamuone daktari akupe antibotics umeze.. usahau iyo kitu
   
 14. C

  Chuma JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka Msongoru...Hayo si Maniii....Kama unamwigilia Mkeo utokaji wa Manii unaona...manii yanatoka kwa mchupo na uuume lazima usimame...

  Sijui katika Lugha ya Kiswahili Fasihi tunayaitaje... Kuna Maji yanaitwa WADII (ktk Lugha ya kiarabu) hutoka wakati wa kukojoa.(hasa mwishoni mwishoni...)...sometimes kutokana na Kazi Ngumu...maji haya ni mepesi..huwezi kuyalinganisha na Manii...

  Pia Kuna Maji mengine Huitwa MADHII...(ktk Lugha ya kiarabu)[wengine huita Love Juice]..sometimes haya maneno hata kwa baadhi ya waswahili wanayatumia...Maji haya hutoka pale mtu anapokaa mda mrefu baada ya kufikiria SEX..Uume unakuwa unasimama....na ukipoa tu haya maji unayaona...ni meupe na si mazito yellowish/milkish kama MANII yenyewe!!!....
  Kitaalamu...unashauriwa kumchezea mkeo hadi pale maji haya(Madhii) yatoke...kwanza husafisha Njia kwa Manii yenyewe..lkn Pia yana ACT as greese..wakati Bolt na NUts zikikutana!!!! Mkienda kavu kavu..HATARI...
   
 15. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawashukuru kwa ushauri, nitaonana na daktari likiwapo lolote nitalileta hapa!
   
 16. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kujipiga bao chumba cha mtihani uwa inatokea na mimi nimesha experience mara moja. Hii inasababishwa na kupanic kutokana na kuwa na over expectations. Mfano, unawaza kupata 100% au atleast 90%(Wakati ninasoma o-level), kuingia kwenye mtihani duh!! kigongo! So ikatokea yenyewe.

  Ilijaribu kunirudia nikiwa chuo kwa staili hiyo pia(mtihani ulikuwa mgumu na nilidhani nitapata zote), nikashindwa kabisa swali moja. Lakini nilijicontrol kwa kugonga kifundo cha mguu. Kwenye mfupa mguuni(ukigonga kwa nguvu kiasi) hata uume ukiwa umesimama unarudi.

  Hii ya chooni duh!!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna wakati iliishawahi nitokea nikiwa GYM working out, wakati wa kubebeba nondo nzito nimezidiwa nilishtukia maanii kunitoka kwa kupiga bao sikuelewa sababu, ama ni woga sijui !! saidieni
   
 18. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2008
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Kumbe kuna vitu vingi sana kuhusu miili yetu hatuvijuwi, hii ya kutoka manii kwenye chumba cha mtihani ama Gym. kwangu ni jambo jipya kabisa, sijapata kusikia wala kufikiri kwamba jambo kama hilo laweza kutokea, lakini kwa maelezo haya nimepata kujua kwamba jambo hilo lipo.
   
 19. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ana maana wakati zinatoka UNASIKIA UTAMU?
  Ni swali la msingi.
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Inatokea sana.....uliza wale waoga wa hesabu watakuambia.....nakumbuka nikiwa form 2 ilikuwa ni test ya Quadratic equation zile za ax2 − b − c=0.....basi jamaa alikuwa kiazi wa hesabu ile kupata karatasi ya maswali namuona anajinyoosha mpaka akaanguka toka kwenye kiti....msimamizi kumuuliza jamaa hasemai kitu....katoa macho....baadae ndio akasema ali score limoja
  ....na sio mara moja wengi tu wamesha score na wanasema......sijui kama wasichana nao wana score kipindi cha pepa
   
Loading...