No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,784
Mwanaume umekamilika kabisa tena unajiita mwanaume Rijali,unakubali kabisa kupelekwa pelekwa kama behewa la Train! Mwanamke huyo amekuwa nani,ana nini cha maana Kama raha si tunakula wote...Mwanamke yeyote hawezi kufanya jambo lolote bila kupima uboya wako kwanza akikuona unaelekea anatafuta lingine.hakuna cha limbwata wala nn,nawasihi msiwe wazito kuwapiga chini wakiwazingua hiyo ndio kiboko yao!!!!!!!!