MWanaume kujipiga finger

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743

​

Hii tabia ya kujipiga finga wanayo wanaume wanene ambao wakivaa suruali zinavuta nyuma kwa mbele.....
 
Mbaya zaidi jamaa lajipiga finga namna hiyo alafu lakuja kukusalimia kwa mikono..aisee.....au kuna hii mijamaa yanajipokoa poka pumb* zao na jua kali la dar kule chini kunakuwa kuna unyemvu unyemvu afu laja kukupa mkono..mie nawakwepaga hawa.....aiseee....mitabia ya kinyaa sana.....au kuna yale yanatoka chooni kukata gogo limejitawaza na maji halijajifuta mimaji maji yenye chembe chembe za kinyesi bado linazo mikononi lakuja kukupa mkono
 

yalaaaah alafu unaenda kula kama huyo jamaa wa pembeni
 
.............kuna kampeni ya wanawake kutoshikana mikono na wanaume sababu mojawapo ni kwamba wanaume wengi wakishajisaidia (sio kukojo) hawanawi mikono..........
 
ama kweli kampeni ya kunawa mikono inatakiwa isisitizwe sana................
 

inatia kinyaa duuh hakuna ulazima kusalimia kwa kupeana mikono
 
halafu watuwengine hamna hata hekima sasa mtu kinyeo kimewasha asijikune.
 

​

Hii tabia ya kujipiga finga wanayo wanaume wanene ambao wakivaa suruali zinavuta nyuma kwa mbele.....

We ni mtu wa pwani na asili ya kiarabu, mbona unafikiri maovu tu, hujaona matunda-machungwa umeona kidole, kweli tumeumbwa
 
Wakati nasoma bailojia nilifundishwa kitu kinachoitwa "Reflex action". Ni jambo linalotokea haraka bila kufikiria mara mbili mbili. Wazungu wana sema "Automatic and Involuntary".
 
Hiyo ni dalili ya minyoo tumboni. Anahitaji kumeza dawa za minyoo ili kutokomeza hiyo aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…