Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,338
- 9,079
Hahahaaha una experience?Anyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri
Sifa ya mwanaume ni ujasiri hata kama unajua hapo hutoshi
Naongea na wale wa mbagala, temeke, tabata, mbezi au sehemu yeyote mnayosema kuna vibaka
OK ponti ni mwanaume unakabwa na wahuni tuwili unalegeza sauti (kama amina au aisha) na kusaula haupo serious pambana kwa vitu vyako mpaka jasho la mwisho unakuwa shy kujitetea kama demu kwenye mapengo ya sitting room tujikaze
Kingene ni hiki unamuuliza swali umevamiwa na majambazi wanakupa option mbili wakuue au watatue uzi usioshoneka kinachojiita kidume anajibu SIKU MOYA MOYA SIO MBAYA
Khaaaaaa
Sio uanaume kubali kufa kishujaa
TUOE
JENGA FAMILIA
nihayo tu
BM
🍻
Cc dronedrakeTUOE
JENGA FAMILIA
nihayo tu
BM
🍻
Acha kidanganya wenzio!
Mtu auwawe ama aumizwe kisa simu na hela ndogo ndogo
Tulia jombaUhai aununuliwi
Sasa tuambiwe umekutwa na lipi na umechagua lipi🤔.Isije kuwa umejilegeza umejiachia halafu unaleta porojo ili kutafuta wafuasi wa huo ujinga🤔Anyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri
Sifa ya mwanaume ni ujasiri hata kama unajua hapo hutoshi
Naongea na wale wa mbagala, temeke, tabata, mbezi au sehemu yeyote mnayosema kuna vibaka
OK ponti ni mwanaume unakabwa na wahuni tuwili unalegeza sauti (kama amina au aisha) na kusaula haupo serious pambana kwa vitu vyako mpaka jasho la mwisho unakuwa shy kujitetea kama demu kwenye mapengo ya sitting room tujikaze
Kingene ni hiki unamuuliza swali umevamiwa na majambazi wanakupa option mbili wakuue au watatue uzi usioshoneka kinachojiita kidume anajibu SIKU MOYA MOYA SIO MBAYA
Khaaaaaa
Sio uanaume kubali kufa kishujaa
TUOE
JENGA FAMILIA
nihayo tu
BM
🍻
Tulia jomba
Kufa kupo tuNan kawai nunua Uhai?
Sijakutwa na loloteSasa tuambiwe umekutwa na lipi na umechagua lipi🤔.Isije kuwa umejilegeza umejiachia halafu unaleta porojo ili kutafuta wafuasi wa huo ujinga🤔
Kufa kupo tu
Mfano wako umetokea wapi?Sijakutwa na lolote
Wewe ndio unasimu ya laki na nusu ila kwa kawaida sio usauliwe kizembe unakaza mpaka jasho la mwisho kwamba hapa halitete sio unatekenywa unatekenywa kama engine ya centerNife kisa simu ya laki na nusu na lain ya 2000
Weee mambo ya bisibisi ya mbavu nani anayataka?? Hasara Roho pesa makaratasi acha wachukueAnyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri