Habari zenu wakuu'naamini mko poa kabisa
Lie ushauri wangu ni kwa hawa kaka zetu'baba zetu'waume zetu
Asikwambie MTU mwanaume ukiwa unajiamini yani raha sana'
Siyo unakuwa na mwanaume mfano mmetoka hats kuita muhudum no ishu sa wakazi gani
Mwanaume inapaswa ujiamini bana
Si bora umwambie tu jamaa yako kuliko kumsema humu.
Siku hizi kuandika sredi ni rahisi sana...
Zamani ilikuwa ngumu?mie mgn humu!
Hajiamini vipi hakupi ?kama anakupa mikao huyo anajiamini. Mitaani wengine tuna asili ya aibu2.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Na wageni nyie ndio huwa mwaandika kirahi rahisi sana...
Humu Kuna uandishi Wa aina ngap mkuu?
Siyo jamaa yangu mbona ningeshamsema'baadhi yenu mnakuwaga hamujiamini kabisa
Siyo jamaa yangu mbona ningeshamsema'baadhi yenu mnakuwaga hamujiamini kabisa
Siku hizi kuandika sredi ni rahisi sana...