Mwanaume: Kipi bora

Oa anayekupenda..


Mmh ila kuishi na manzi unayempenda kuna raha yake
 
Anayekupenda muoa muweke ndani atakuvumilia kwa hali yoyote
Unayempenda mfanye mchepuko wako wa kuenjoy nae ila jitahidi mkeo asijue
 
oa wote ili usikose bara wala pwani ioohh kumbe wanaume[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
oeni wanawake wema vinginevyo mtakua katika hasara. Maneno ya mwnyez mungu hayoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…