Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,030
- 3,324
Akiamua atapigwa tu, Tena kwa hasira anaweza hata kununua dildo
HahahahahahahhahahaaMawazo ya kimaskini. Kama mwanamke ni wakupigwa atapigwa hata ukimfungia kwenye cage.
Kwanini?Ukiwa mkubwa utasahau hayo yote
AiseeKama ni kunguru ni kunguru tu blaza hawezi kufugika.
Kupunguza risk kakaKikubwa ni uaminifu tu unaweza fanya vyote hivyo na ukapigiwa vizuri tu
Ila kupunguza risk ni kosa?Hawa viumbe hawachungiki kama wakupigwa atapigwa tu
Kikubwa ktk kuchagua usichague gharasa
Gharasa = single mom, slay Queen, asio na nk nakadhalika
Kama ni mfanya kazi anaenda semina ya wiki unajikunyata peke yako . Hata kama ni mlokole kupigwa kama kazi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hela tunasaka na risk ya kupigiwa tunapunguzaHayo yooote hata usipoayafanya kwa 110 percentage kama wa kugongwa atagongwa tu,muhimu tafuta hela zitakupunguzia stress ukisikia habari mbaya inayomuhusu mkeo.
Mimi huwa naamini kuwa na shilingi hata kama ni ya kutosha kula na kuweza kubadilisha mazingira ni kinga imara sana kwa akili ya mwanaume,so tu-focus kwenye hilo.