BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
1. Mfikishe kileleni
2. Kua mwaminifu...mke akigundua mume malaya trust inavunjika...hapo atabebwa na yoyote kupunguza machungu
3. Mthamamini.
4. Mtunze
5. Mheshimu ...wanaume mnadhani heshima.mpewe nyie tu(heshimu wazazi wake/ watu wa kwao)
6 mtendee vile ungependa wewe utendewe
7. Msaidie kutimiza ndoto zake kama yeye anavyokusapoti....
8 mpe hela
9 mpe hela
10 mpe hela
11 msikilize..mfanye rafiki (akiwa na kiumbea aweze kjjupa mkacheka...hata kama huna maana unaongeza bond na ukaribu wenu)
12 mpe hela
13 mpe hela
14 mpe hela

Habari wakuu...
Tendency ya wanaume kupigiwa wake zao imezidi sana hivyo basi, tujaribu kusema cases zinazosababisha kupigiwa mkeo...
1. Usiajiri shamba boy
2. Usimpige mkeo
3. Usiruhusu mkeo awe na boda wake
4. Usiache kupiga show ya maana
5. Usiruhusu mkeo aende kwenye marathons
Na mengine mengi ongezea