Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,260
- 40,284
Mashine piga ila usiwe simpSawa mkuu sema katika kujipa kipaumbele hapo ndio panahusisha kutafuta msichana mzuri na kupiga mashine Sasa tena unajikuta umesahau kipaumbele
Kuna wajinga wanaweka pembeni malengo, amani na furaha yao kwa ajiri ya mwanamke, hao ndio wanahitaji kuelekezwa, as long as gharama za matunzo ya hapo unapopaloweka haziathiri bajeti yako wala hakuna shida.Kwangu kujipa kipaumbele ni pamoja na kuiloweka , na ninapo iloweka lazima nipajali ili pazidi kunivutia zaidi, ni katika hali ya kujipenda zaidi mkuuπππππ
Ila mkuu tuwapende na kuwatunza kuna namna wanawake ni muhimu sana kwetu ,japo sio wote.Kuna wajinga wanaweka pembeni malengo, amani na furaha yao kwa ajiri ya mwanamke, hao ndio wanahitaji kuelekezwa, as long as gharama za matunzo ya hapo unapopaloweka haziathiri bajeti yako wala hakuna shida.
Unajua mapenzi ni liability kwa mwanaume, lakini hii liability ibebe ukiwa unaweza ku-afford cost zake.
Weeeeeeeeeeeeeeeee umerudiiiiiiiMmnh
Ni kweli mkuu, lakini katika upendo huo huo utakayoipa familia yako usijisahau wewe mwemyewe. Bila mali mwanaume utapata shida uzeeni.Ni sawa na sahihi ila Tutenganishe tu mapenzi kwa mwanamke na mapenzi kwa familia. Usiiache familia yako iteseke sababu unajipenda mno.
Ni kweli.Kujipenda pia inahusisha kuwa na mwanamke mzuri na smart.
KATAA NDOA
NI kweli mkuu na moja ya njia za kuwaonyesha upendo ni kuwaambia ukweli kwamba mapenzi sio chanzo cha mapato au mpango mbadala ya kujikwamua na umasikini hii itawawezesha kupata akili na kupambana kujitegemea wao wenyewe binafsi bila kuweka mbele mbususu kama mtaji.Ila mkuu tuwapende na kuwatunza kuna namna wanawake ni muhimu sana kwetu ,japo sio wote.
πππππkwa upendo anaonipenda uyu mwanaume, sidhan kama ana mda wa kujipa kipaumbele, ngoja nimpe asome huu uzi,labda atajifunza kitu.
Mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwasemea wanaume wenzangu, kama wewe unataka kuwasemea wanawake wenzako kaanzishe uzi wako, jf ni jukwaa huru muhimu tu usivunje sheria zake.Ndio yani sasa hivi kila mtu anatakiwa afanye yale yanayompa furaha yeye, hata wanawake wanatakiwa wafanye yale yanayowapa furaha wao na si yanayowapa furaha wanaume, yani furaha yao ndio iwe kipaumbele kwao
Sawa mkuu , ila binafsi naona mwanamke ukimwelewa vizuri anayo akili kubwa ya kukufanya utoke hatua ndogo kwenda kubwa zaidi.NI kweli mkuu na moja ya njia za kuwaonyesha upendo ni kuwaambia ukweli kwamba mapenzi sio chanzo cha mapato au mpango mbadala ya kujikwamua na umasikini hii itawawezesha kupata akili na kupambana kujitegemea wao wenyewe binafsi bila kuweka mbele mbususu kama mtaji.